Aidha ameeleza kwamba nchi yake itajibu dhidi ya yeyote anayeishambulia. Naye Waziri wa ulinzi wa Israeli Yoav Gallant,ameapa pia kuiwajibisha Iran kwa vitendo vyake. Iran ilianzisha mashambulio ...
Mwanafunzi wa sanaa ambaye alitengeneza mkufu wa dhahabu kwa mwanamuziki Lil Wayne amesema mauzo yake yalimsaidia kulipa karo yake ya chuo kikuu. Joy Bonfield-Colombara, 29, kutoka kusini ...
Kiongozi wa kiroho wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesifu hatua ya nchi yake kurusha makombora nchini Israel wiki hii, na kusisitiza kuwa Tehran na washirika wake, wataendeleza mashambulio hayo.
Maelezo ya picha, Chad ni moja ya nchi kadhaa zilizotajwa katika tathmini hiyo kuwa katika hatari ya mabadiliko ya hali ya hewa. 22 Oktoba 2021 Mabadiliko ya tabia nchi yatasababisha mzozo wa ...