Timu ya Kigoma imeifunga Foundation Pax kwa pointi 89-82, katika mchezo wa kirafiki wa ujirani mwema, uliofanyika kwenye ...
Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) mkoani Kigoma yanatajwa kupungua kutoka asilimia 3.4 mwaka 2013 hadi 1.7 mwaka 2023 sawa na upungufu wa asilimia 50.
Hivi karibuni, mwandishi wetu Zuhura Yunus alikuwa mkoani Kigoma nchini Tanzania. Katika pita pita yake alikutana na mmea ambao awali, kwa kuutazama alidhania ni mbuyu. Hata hivyo, alipozungumza ...
Mashuka yenye urembo wa maua ya kushonwa na rangi za kuvutia yameninginizwa pembezoni mwa barabara na nje ya nyumba kama uzio, ni ishara inayoweza kukujulisha kuwa umefika Kigoma. Ni katika mji ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) Tanzania, kwa kushirikiana na Serikali ya Japani, limekabidhi ...
MWANACHAMA wa Chama Cha Demokrasia (CHADEMA) mkoani Kigoma Masudi Mambo ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amepongeza Chuo Kikuu Huria Tanzania ...