Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) mkoani Kigoma yanatajwa kupungua kutoka asilimia 3.4 mwaka 2013 hadi 1.7 mwaka 2023 sawa na upungufu wa asilimia 50.
Mashuka yenye urembo wa maua ya kushonwa na rangi za kuvutia yameninginizwa pembezoni mwa barabara na nje ya nyumba kama uzio, ni ishara inayoweza kukujulisha kuwa umefika Kigoma. Ni katika mji ...
Hivi karibuni, mwandishi wetu Zuhura Yunus alikuwa mkoani Kigoma nchini Tanzania. Katika pita pita yake alikutana na mmea ambao awali, kwa kuutazama alidhania ni mbuyu. Hata hivyo, alipozungumza ...