Amekuwa akifanya hivi mara kwa mara katika mji wa Malindi, kusini-mashariki mwa Kenya, tangu mkewe alipotoweka Agosti mwaka jana. Bw Mwiti pia amekuwa akimtafuta pamoja na watoto katika msitu wa ...
RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mambo yote anayoyatamka hadharani kuhusu utekelezaji wa miradi mikubwa ...