Timu ya Kigoma imeifunga Foundation Pax kwa pointi 89-82, katika mchezo wa kirafiki wa ujirani mwema, uliofanyika kwenye ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) Tanzania, kwa kushirikiana na Serikali ya Japani, limekabidhi ...
Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) mkoani Kigoma yanatajwa kupungua kutoka asilimia 3.4 mwaka 2013 hadi 1.7 mwaka 2023 sawa na upungufu wa asilimia 50.
Ni mwanafunzi Edwin Gervas wa shule ya msingi Buhigwe iliyoko mkoani Kigoma, kaskazini-magharibi mwa Tanzania. Anazungumzia mradi unaofadhiliwa na FAO ambalo ni shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula ...
MAMLAKA ya Mapato (TRA) imesema vikao na ziara wanazofanya kukutana na wafanyabiashara kuzungumzia changamoto zinazowakabili ...
MWANACHAMA wa Chama Cha Demokrasia (CHADEMA) mkoani Kigoma Masudi Mambo ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti ...
Wakati unyanyasaji wa kijinsia ukiendelea kuwa moja ya ukiukwaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani kote, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, kwamba hatari zinaongezeka ...
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Njombe, Scholastica Kevela ametunukiwa Shahada ya Uzamivu katika masuala ya fedha (PhD in Finance) na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).
Serikali imesema kasi ya vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza inazidi kuongezeka hali inayosababisha Watanzania wengi kushindwa kufikia umri wa miaka 66 ambao ni wastani wa kuishi. Takwimu ...