Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba, Francois Regis, ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya michezo Rwanda. Regis ambaye alidumu Simba katika muda usiozidi miezi miwili, uteuzi wake wa nafasi hiyo ya ...
Simba imeendelea kuwa na matokeo mazuri mfululizo baada ya kuichapa FC Bravos do Maquis ya Angola bao 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi A katika Kombe la Shirikisho Afrika uliochezwa jioni ya leo ...
Klabu za Simba n Yanga zimetoa pole kwa familia, ndugu, Bunge la Tanzania, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa Kigamboni Dk Faustine Ndugulile kilichotokea leo Novemba 27, nchini ...