Je, kasha hili lenye muundo wa yai ndio utakuwa makazi ya muda kwa wanaanga wa India watakoenda mwezini siku za usoni? Hab-1, kifupi cha Habitat-1, ni mradi wa kwanza wa "misheni ya kizamani'' wa ...
ambayo ni taifa la kwanza katika EAC kufutilia mbali vibali vya kazi kwa raia wa matifa ya jumuiya ya Afrika Mashariki. Serkali ya Kenya, aidha imefanyia mabadiliko ada ya malipo ya kibali cha ...
picha hii ya Trump awali ilichapishwa na Tuko kwenye Facebook, lakini ikiwa na maelezo tofauti yalisomeka: "Mbunge wa ODM anaeleza kwa nini ushindi wa Donald Trump ni habari mbaya kwa Ruto." ...
VITENDO vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikishamiri mwaka hadi mwaka ndani ya jamii na hata kuacha maumivu yasiyoisha kwa baadhi ya watu. Miongoni mwa vitendo hivyo ni ukatili wanaofanyiwa wasichana ...
Katika mashariki mwa DRC, vita vinaendelea kati waasi wa M23 - wanaoungwa mkono na nchi jirani ya Rwanda na vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) - wakiungwa mkono na ...
STRAIKA wa zamani wa AFC Leopards na timu ya taifa ya Kenya 'Harambee Starlets', Ezekiel Otuoma amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Nyota huyo (31) alifariki baada ya ...
Hiki ni kipindi ... na nje ya Japani. Wakati huu tunakuletea Salamu za Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Japani Baraka Luvanda na Kaimu Balozi wa Kenya nchini ...
migogoro ya wakulima na wafugaji pamoja na ya uhifadhi ili kuhakikisha kesi zinamalizika kwa wakati na haki inatendeka kwa kuwa ni maeneo ambayo yanaongoza kwa matukio mbalimbalika kwenye jamii.
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea maoni ya raia wa Tanzania na Kenya kuhusu maadhimisho ya uhuru wa ...
Serikali imeajiri mshauri wa kufanya tathmini ya Gridi ya Taifa kushughulikia changamoto za kimfumo zinazotokea na kusababisha mgawo wa umeme nchini na nchi jirani. Tanzania imekuwa ikikumbwa na mgawo ...
Dar es Salaam. Wananchi wa Upenja na Shehia za jirani, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Ungujja, sasa wataondokana na adha ya kufuata huduma za afya mbali baada ya kuzinduliwa kwa kituo cha ...
Asili na mazingira 15.12.2024 15 Desemba 2024 ...