Mwanasheria mkuu wa Kenya Profesa Githu Muigai amejiuzulu baada ya kuhudumu kwa miaka sita na nusu. Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Githu kwa huduma zake na sasa jaji Paul Kihara Kariuki ...
Rais Uhuru Muigai Kenyatta aliibuka kuwa rais wa umri mdogo zaidi kuwahi kuongoza Kenya aliposhinda uchaguzi mkuu wa Machi mwaka 2013 akiwa na mgombea mwenza wake William Samoei Ruto. Mwaka 2017 ...