Mpwa wa rais wa Somali Hassan Sheikh Mohamud ameuawa katika mji mkuu wa Mogadishu. Ripoti zinaarifu kuwa Liban Osman ambaye alikuwa daktari aliuawa na watu waliokuwa wakiendesha gari katika eneo ...
Mpwa wake rais wa Marekani Donald Trump amepanga kuchapisha kitabu kinachoelezea yote kumuhusu. Lakini je kwanini akaamua kufanya hivyo na mbona akaamua kujitokeza sasa? Tarehe 28 Julai ...