KUNA mambo tunatarajia kuyaona yakifanywa na sisi hapa kijiweni lakini inapofikia hatua unayaona kwa watu ambao hawakupaswa kuyafanya kutokana na nafasi zao au taasisi walizopo inashangaza kidogo.
Kwa mujibu wa Master J, Sugu ndiye msanii wa kwanza kumlipa vizuri katika kazi hiyo, awali alikuwa anarekodi kwa Sh50,000 ila Sugu akamlipa Sh100,000 na walianza kufanya kazi kwenye albamu yake pili, ...
Majibu ya mwanafunzi huyu yalikuja baada ya kuulizwa kwamba anafahamu nini kuhusu teknolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence- AI). Alichojibu mwanafunzi huyu hakina tofauti na walichojibu ...