CHIPUKIZI wa Dar City, Stanley Mtunguja ameanza na moto na kuwa kivutio wakati wa mchezo kati ya timu hiyo dhidi ya wenyeji Equity Dumas, katika mashindano ya Kikapu Afrika Mashariki na Kati ...
Kutana na Ivy Lotilia msimamizi wa kampeni ya utoaji chanjo ya matone ya polio katika kaunti ya West Pokot anasema katika kampeni hii iliyofanikishwa na Umoja wa Mataifa anapita nyumba kwa nyumba ...
DAR ES SALAAM; Hali ya machafuko katika baadhi ya mataifa ya Afrika, yanalifedhehesha Bara la Afrika mbele ya macho ya walimwengu. Ni jambo la kushangaza kuona Waafrika wanazozana wao kwa wao kwa ...
Karibu katika Makala ya leo tukiangazia ubunifu wa noti za mwaka wa 2018 zilizosambazwa kama zilizosasishwa na Benki kuu ya Kenya. Ni baada ya mwezi Agosti mwaka huu, benki ya CBK, ilitangaza ...
Sasa, maelfu ya wakulima kama Wanjala wanapambana dhidi ya magugu hayo kwa kutumia dawa ya kuulia magugu kuvu ambayo ni rafiki kwa mazingira na inazidi kushika ... kwa wakulima 110,000 kama Wanjala ...
Muungano huo umezungumza kwa kukosoa utawala wa rais wa Kenya. "Ni wakati wa Wakenya kukusanyika ili kutetea Taifa letu dhidi ya mashambulizi mengiyanayolikabili," Askofu Philip Kitoto alisema ...
Vita hivi viliua yeyote viliyemuua na sasa wanatuambia ni ushindi," alisema kijana mmoja ambaye alikuwa akirejea kutoka nchi jirani ya Syria baada ya kuhamishwa kutoka jimbo la Bekaa mashariki.
Kwa ujumla, wachezaji wa Yanga katika mchezo wa jana walicheza kwa morali ya chini iliyowafanya kupoteza mchezo huo ikiwa ni mara ya pili mfululizo mbele ya Al Hilal. Mara ya mwisho timu hizo ...
Kenya ilikana kuhusika, lakini wakili Erias Lukwago alidai serikali ya Kenya ilihusika. Alisema alipata nyaraka za Besigye licha ya upinzani kutoka idara za ujasusi za Kenya. Msemaji wa serikali ...
nilililewa katika mkoa wa magharibi mwa Kenya katika kauti ya Busia ambapo suala zima la uchawi lilikuwa limekidhiri. Baba yetu ambaye ni marehemu alikuwa na ugomvi na jirani yetu mmoja kabla ya kifo ...
Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz ameapa kuwa hakutakuwa na usitishaji mapigano wakati vikosi vya Israel vikiendelea na mashambulizi ya kijeshi katika nchi jirani ya Lebanon kulishambulia ...
Maelezo ya picha, SportPesa ni moja ya makampuni yaliyoathiriwa naagizo la serikali la kufutwa la leseni ya kifanyia kazi nchini Kenya Serikali ya Kenya imefuta kwa muda vibali vya makampuni ...