Yanga imeanza vibaya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikifungwa mabao 2-0 nyumbani dhidi ya Al Hilal kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mabao ya Adama Coulibaly dakika ya 63 na ...
Itafanya hivyo kujibu ziara ya Spika wa Bunge la Wawakilishi la Marekani, Nancy Pelosi, nchini Taiwan, ambako aliwasili Jumanne. Beijing inadai kisiwa hicho kama eneo lake na imechukua safari ya ...